Habari

Namsimamisha kazi kuanzia leo, huko aliko aandikiwe barua – Rais Magufuli amtengua Mkurugenzi Igunga (+Video)

Rais wa Jamhri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora Bw. Revocatus Kuuli leo tarehe 28 Desemba, 2020 kutokana na kukabiliwa na tuhuma za kutwalia ardhi ya wananchi bila kufuata utaratibu, utendaji kazi usioridhisha na matumizi mabaya ya fedha za maduhuli ya Serikali.
Mhe. Rais Magufuli amemuagiza Mkuu wa Tabora Dkt. Phillemon Sengati kuteua Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo mara moja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents