MahojianoVideos

Nandy: Niliingia Insta live, mwanaume alitaka kunivulia nguo kisa kaachwa (+ Video)

The African Princes @officialnandy usiku wa jana alizindua kampeni yake ya #Funguka ambapo alikutana na vijana mbalimbali na kueleza matatizo yao na pia kuyatafutiq namna ya kuyatatua.

Akishirikiana na @dadahoodtz ya @mamybabytz ameeleza namna alivyoamua kubuni wazo hilo.

Mbali na hilo @officialnandy ameeleza baadhi ya changamoto alizokutana nazo baada ya shabiki kuleta sintofahamu wakati akiongea naye Insta live.

Pia bila kusahau CEO wa @dadahoodtz @mamybabytz naye alipata wasaaa wa kuongea.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents