Burudani
Neno Kuntu na Dudu Baya: Usaliti ni kifo (Video)
Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop, Dudu Baya ameamua kuja na kipindi chake kipya kiitwacho ‘Neno Kuntu la Dudu Baya’ uwanja ambao atautumia kuzungumza mambo mbalimbali mabaya anayoendelea duniani ambapo leo ameanza na usaliti.