Muziki
New Audio: Ben Pol ft Darassa – Tatu
Baada ya picha za kushangaza za mkali wa R&B, Ben Pol kusambaa mitandaoni, muimbaji huyo ameachia audio yake mpya ya wimbo ‘Tatu’ akiwa amemshirikisha rapa Darassa. Audio imeandaliwa na Tiddy Hotter.