Videos
New Music Video: P-Unit Feat. Collo – You Guy
Hii ni video iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu sana. Video imefanywa na Clarence Peters na ngoma imetengenezwa na hit maker Musyoka.Ngoma hii inapatikana kwenye albam ya pili ya kundi la P Unit, ‘ Wagenge Hao Tena’.