Burudani
New Video: Billnass Ft Mwana FA – Mazoea
Rapper Billnass ameachia video yake mpya ya wimbo ‘Mazoea’ akiwa amemshirikisha rapper Mwana FA. Video imeandaliwa na Kwetu Studio chini ya director Masafiri.