Videos
New Video: Pankdayo – Sijafanya Chochote
Msanii wa muziki anayekuja kwa kasi, Pankdayo, ameachia video yake ya kwanza ya wimbo ‘Sijafanya Chochote’. Wimbo huo unazungumzia historia ya maisha yake, pamoja na harakati zake kwenye muziki wa BongoFleva. Video imeandaliwa na director Tinno Agustino. Audio imeandaliwa na Tinny.
https://youtu.be/n7P3z4FBsWw