Burudani

Nick wa Pili azungumzia hatma ya Lord Eyez ndani ya Weusi

Msemaji wa kampuni ya Weusi, Nick wa Pili amewataka mashabiki wao kuendelea kuwa na subiri kuhusu taarifa rasmi ya lini Lord Eyez atarejea tena akiwa chini ya kampuni hiyo.

Nikki wa Pili_2

Nick alikuwa akiongea na Bongo5 na kusema: Akirudi tutatoa taarifa bado hatujatoa taarifa rasmi. Kwahiyo sasa hivi hakuna tamko lolote. Kama tuliweza kutoa tangelo la kumsimamisha basi tutatoa tangazo la kumrudisha. Kwahiyo kuweni wapole kidogo, mambo ya kikampuni huwezi kuyatoa bila utaratibu.”

Lord Eyez alisimamishwa baada ya kushutumiwa kuhusika kwenye tukio la wizi jijini Arusha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents