Burudani

Nick wa Pili kuja kuja na wimbo ‘Baba Swalehe’

Rapper wa kundi la Weusi, Nick wa Pili anatarajia kuachia wimbo uitwao Baba Swahele.

Nikki wa Pili_2

Amedai kuwa wimbo huo unazungumzia mwanaume bachelor ‘anayeishi ndani ya ndoa.’

“Baba Swalehe ni mtu ambaye anaishi kibachela ndani ya ndoa,” Nick amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM.

“Wimbo ukitoka watajua unawezaje kuishi ndani ya ndoa lakini ukiwa unaishi kibachela? Kwahiyo Baba Swalehe ni baba anayeishi kibachela ndani ya ndoa. Wimbo utatoka baada masuala ya uchaguzi kutulia.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents