Burudani

Obama amdiss Kanye West


Rais wa marekani, Barrack Obama, amemdiss rapper Kanye West katika mahojiano aliyokua anafanya na mwandishi wa gazeti la Atlantic.

Mwandishi huyo alimuuliza Rais Obama, ni yupi anayempenda zaidi kati ya Jay Z na kanye west. Ndipo Obama akamjibu, anampendelea Jay Z zaidi. Alielezea ingawa Kanye West anakipaji kisichopingika na akili, lakini anampendelea Jay.

Mwandishi alipomuuliza kama bado rais huyo anadhani Kanye West ni ‘Jackass’ kama ambavyo alinukuliwa akisema mwaka jana baaada ya vituko vya Kanye katika show ya MTV Music awards, alijibu,

‘He is a Jackass even though he is very talented.’

Inawezekana Obama anampendelea Jay kwasababu ya kumpa support kwenye urais wake pamoja na Beyonce na Michelle Obama kushirikiana kwenye campaign ya kupunguza uzito kwa watoto nchini humo, ama tu kuenjoy muziki wa Hipo Hop kwa ujumla

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents