Burudani

Otile Brown aweka siri zote hadharani za kuachana na X- wake Vera Sidika

Otile Brown aweka siri zote hadharani za kuachana na X- wake Vera Sidika

Msanii wa muziki kutoka Mombasa nchini Kenya Otile Brown ambaye hapo nyuma alikuwa na mahusiano na mwanadada Vera Sidika ameamua kuweka kila kitu hadharani baada ya kuachana nae.

Otile alidumu kwenye mahusiano na mrembo huyo kwa zaidi ya miezi minne na mapema mwezi octoba mwaka huu alidhibitisha Vera Sidika kuwa wameachana na Otile baada ya kuandika ujumbe mrefu sana ambao ni huu hapa.

Lakini baadae pia Otile nae alithibitisha hilo kwa kuandika kila kitu ambacho kilimfanya kuachana na Vera, Otile alisema: “There is something she did that really turned me off and ever since the relationship has been on a sinking grounds, fights all the time and I could feel the distance between us even when we’re together, the love was fading away,” said Otile.

He added:

“I believe she wrote all that not coz she’s hurting but coz she was afraid of what social media will say after realizing that we ain’t no longer together and maybe have moved on with another queen coz SHE cares so much about what Social media think and say but me Hehehe I don’t care, you can just tell coz I don’t turn off the comments section no matter how bad people insult me. I loved Vee sana and cared so much about her those who knows knows, but she’s trying to make me look heartless and a user so other queen

Baada ya muda waLionekana wakiwa wote tena wawili hawa wanaotoka maeneo ya Mombasa nchini Kenya, watu wakahisi wako pamoja tena kwani walianza kupost picha na video wakionekana wakila bata Dubai ,siku kadhaa nyuma ilitangazwa wameachana ni pale baada ya kuanza kuandikiana jumbe mbalimbali kila mmoja akimsema mwezake vibaya na jana wote waliweza kuchafana mitandaoni lakini Otile aliweza kuorodhesha kila kitu kwamba ” Vera ana mchuna sana kwani hela au kodi ya saluni yake yeye anamlipia na vitu vingi vingi, lakini pia kwa upande wa Vera nae akidai jamaa alikuwa akimtegemea kwa kila kitu kwa maana hiyo alikuwa anamuomba sana hela.

Baada ya mabishano hayo yote Otile brown akaamua kuanika meseji zote walizokuwa wanachati hadi kuweka risiti za pesa ambazo alikuwa akimtumia Vera Sidika, Otile alianika jumbe zote hizi kwenye ukurasa wake wa Instagram ingawa baadae alikuja akifuta kila kitu alichoongea kuhusu X- wake huyo.

 

 

Mbali na hilo Otile aliamua kupost gari yake mpya aina ya Mercedes benz ili kuonesha kuwa hakuwa anamtegemea Vera jinsi alivyokuwa akidai Vera Sidika kwamba jamaa hana kitu anamtegemea yeye kwa kila kitu.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents