Burudani

Penthouse kuacha kutoa jarida lake kwa mfumo wa makaratasi

Jarida maarufu la wakubwa, Penthouse litaacha kutoa nakala zake kwa mfumo wa makaratasi, na badala yake litakuwa likitoka kwa mfumo wa dijitali tu.

Penthouse-1

Kampuni hiyo imesema katika kipindi cha mpito itaendelea kutoa nakala za kawaida huku likiwaanda wasomaji wake katika mfumo wa dijitali siku za usoni.

Tangazo la Penthouse limekuja miezi kadhaa baada ya jarida lingine maarufu la Playboy kutangaza kuacha kuweka picha za utupu za wanawake kuanzia March 2016.

CEO wa Playboy alisema uamuzi huo ulikuja kutokana na ukweli kubwa picha za wanawake watupu zinapatikana bure mtandaoni.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents