Michezo

Picha: Antoine Griezmann alivyokutana na mcheza kikapu mwenye urefu wa futi 7

Mchezaji wa klabu ya Atletico Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa, Antoine Griezmann ambaye alitembelea ukumbi wa Madison Square Garden mjini New York, Marekani juzi nakukutana na mchezaji wa kikapu wa New York Knicks, Kristaps Porzingis mwenye urefu wa futi 7 na inchi tatu huku Griezmann yeye akiwa na urefu wa futi 5 na inchi tisa.

Angalia picha za wawili hao walipokutana

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents