Diamond Platnumz

Picha: Diamond Platnumz na Avril katika pozi ‘tamu’

Diamond alikuwa na show jijini Nairobi, Kenya weekend iliyopita na alikutana na muimbaji wa ‘Kitu Kimoja’ mrembo Avril ambaye walipiga picha ya pamoja na kuwaonesha kuwa wana urafiki wa karibu.

Wakati huo huo Avril amekula shavu la kuwa cover model wa kampuni ya vipodozi ya nchini Italia iitwayo Golden Rome.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents