Picha

Picha inayoonesha magaidi wakizunguka ndani ya Westgate mall kabla ya kuanza mashambulizi

Hii ni picha ya CCTV inayoaminika kuwa wanaoonekana ni magaidi wa Al-Shabaab baada ya kuingia katika mall ya Westgate huko Nairobi kabla ya kuanza mashambulizi.

westgate gunmen

Japokuwa picha haionekani vizuri lakini wanaonekana watu wawili wakiwa wamefunga vitambaa vyeusi vichwani, na mikononi wakiwa na silaha nzito huku wakitembea ndani ya mall.

Picha: Mail Online

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents