Burudani
Cpwaa is back: Kuachia ‘Chereko Chereko’ mwanzoni mwa mwezi ujao
“All hail for the King, he is back,” anatease Ilunga Khalifa aka Cpwaa kuashiria ujio wake mpya wa kishindo wa ngoma mbili.
Ya kwanza inaitwa Chereko Chereko ambayo itatoka siku 6 zijazo.
Ngoma ya pili atakayoiachia mwakani, ni Cross Borders Therapy aliyowashirikisha rappers nguli wa Afrika Kusini, HHP na DBlack wa Ghana.