Events

Picha: Inter-College Freshers Party – Mbalamwezi Beach

Wanafunzi wapya wa vyuo mbalimbali vya jijini Dar es Salaam, jana walijumuika pamoja kwenye party ya nguvu, Inter-College Freshers Party iliyofanyika Mbalamwezi Beach. Pamoja na muziki mkali uliopigwa na DJ D-Ommy na DJ Ali B, rappers kama Young D, Mabeste na Young Suma walitumbuiza. Tazama picha za mambo yalivyokuwa.

Mabeste akitumbuiza
Mabeste-akitumbuiza

Mrembo akifurahia muziki
Mrembo akifurahia muziki

Mtangazaji wa kipindi cha Da Weekend Chat Show cha Clouds TV, Nickson
Mtangazaji wa kipindi cha Da Weekend Chat Show cha Clouds TV, Nickson

Nickson wa Clouds TV akiteta na DJ D-Ommy

T-Bway (kulia) akiwa na shabiki
T-Bway wa EATV (kulia) akiwa na shabiki

Warembo wakijiunda na wanafunzi wengine kucheza kwa pamoja
Warembo wakijiunga na wanafunzi wengine kucheza kwa pamoja

Young D akishow love kwa mashabiki wake
Young D akishow love kwa mashabiki wake

DJ Ali B
DJ Ali B

DJ D-Ommy akiwapa wanafunzi mizuka
DJ D-Ommy akiwapa wanafunzi mizuka

DJ D-Ommy na DJ Ali B
DJ D-Ommy na DJ Ali B

Ebana dah
Ebana dah

Hapa wanafunzi wakicheza pamoja
Hapa wanafunzi wakicheza pamoja

IMG_7263

IMG_7278

IMG_7285

IMG_7290

IMG_7292

IMG_7307

IMG_7308

IMG_7318

IMG_7322

IMG_7323

IMG_7326

IMG_7328

IMG_7341

IMG_7351

IMG_7369

IMG_7373

IMG_7377

IMG_7385

IMG_7391

IMG_7392

IMG_7393

IMG_7395

IMG_7396

IMG_7404

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents