Habari

Picha: Kiota kipya Serengeti – Singita Mara River Tented Camp

Kampuni ya Singita hivi karibuni imezindua kitoa kipya katika mbuga ya wanyama ya Serengeti kiitwacho Singita Mara River Tented Camp kikiwa kaskazini mwa mbuga hiyo.

Ikizungukwa na mandhari asili ya mbuga hiyo, Singita Mara River Tented Camp ilibuniwa kukidhi mahitaji ya watalii wanaohitaji kuona muonekano halisi na uzuri wa mbuga hiyo.Kiota hicho kina mahema sita ambayo huwapa wageni muonekano mzuri usioelezeka wa wanyama na uoto wa asili.Gharama za kwa usiku mmoja mwaka huu imeanza kwa $1,200 kwa mtu mmoja na mwakani itakuwa $1,275 kwa mtu mmoja na kwa usiku mmoja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents