Mitindo

Picha: Lupita Nyong’o alivyotokelezea kwenye uzinduzi wa filamu ya Black Panther

Lupita Nyong’o ni miongoni mwa waigizaji wa Black Panther ambao walihudhuria katika uzinduzi wa filamu hiyo Ijumaa hii mjini Johannesburg, Afrika Kusini.

Mrembo huyo wa Kenya, alionekana kunoga zaidi kutokana na gauni lake alilolivaa lenye rangi nyekundu na kunakshiwa na rangi ya gold kumpendeza sana.

Filamu hiyo ya Black Panther, imetengenezwa na kampuni ya Marvel na kuwakutanisha waigizaji wengi kutoka Afrika kama Chadwick Boseman (Staa wa filamu hiyo), Danai Gurira, John Kani, Connie Chiume na wengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents