Michezo

Picha: Mhandisi mkazi wa Mwanza ashinda Bajaj aina ya TVS King

Mshindi wa droo ya 23 Hussein Habibu (38) Mhandisi mkazi wa Nyakato, Mwanza ameibuka mshindi wa Bajaj aina TVS King kutoka katika promotion inayoendeshwa na Kampuni ya Kubashiri Michezo ya SportPesa.

Mshindi huyo alisaidiwa na mfanyakazi mwenzake (Picha ya pili) katika zoezi la kupokea zawadi hiyo.

Kijana huyo ameibuka mshindi baada ya kubashiri kupitia sportpesa na baada ya hapo kutuma neno Shinda kwenda 15888.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents