Burudani

Picha: Mrembo huyu ndiye anayeutuliza moyo wa Rayvanny wa WCB?

Ule usemi wa Kiswahili unaosema ‘penzi ni kikohozi kulificha hauwezi’ unazidi kujidhihirisha kwa muimbaji wa WCB, Rayvanny baada ya anayedaiwa kuwa mpenzi wake kuonyesha ni jinsi gani anavyomzimia mkali huyo wa wimbo, Sugu.
rayx
Fahyma
Mwaka huu mwanzoni Rayvanny alipost picha mtandaoni akiongelea na mrembo huyo hali ambayo iliibua maswali mengi kutokana na picha hiyo kutoonyesha sura ya mrembo huyo.
yrat
Muimbaji huyo hakuwahi kuzungumza chochote kuhusu mrembo huyo, lakini binti huyo anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake ameamua kufunguka kupitia mtandao wa instagram kuonyesha jinsi gani anampenda mkali huyo wa wimbo, ‘Natafuta kiki’.

“Nakupenda sana mumewangu hakuna wakufanana na wewe mm bado sijaona ????,” aliandika instagram mrembo huyo huku akiwa amepost picha hapo chini.
ray-vanny

rayvanny

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents