Michezo

Picha: Muonekano mpya wa basi la timu ya Simba SC

Basi la klabu ya Simba SC aina ya Yutong sasa lina muonekano mpya baada ya wadhamini wazamani TBL kupitia Kilimanjaro kumaliza mkataba wao na timu hiyo.

Mwonekano wake safari hii, kuna picha za wachezaji mbalimbali.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents