Burudani

Picha: Serengeti Fiesta yaandika historia Shy Town

Kama ilivyo kawaida ya Serengeti Fiesta, usiku wa jana wakazi wa Shinyanga walijitokeza kwa wingi kuwashuhudia wasanii wawapendao wakitoa burudani ya nguvu. Tazama picha za mambo yalivyokuwa kwenye show hiyo.

Miondoko ya Rich Mavoco na dancers wake.

Chege akitoa Hi, kwa mashabiki wa muziki Shinyanga.
Chege akitoa hi kwa mashabiki wa muziki Shinyanga

Chege alicheka na kamera ya bongo5.
Chege alicheka na kamera ya Bongo5

Dudu Baya akiiwambia wakazi wa Shinyanga piga Miluziiiiiiiiiiii,Style mpya ya Dudu kuwauliza kama wako pamoja,Noma kweli,
Dudu Baya akiwaambia wakazi wa Shinyanga piga Miluziiiiiiiiiiii,style mpya ya Dudu kuwauliza kama wako pamoja, Noma kweli

Dudu Baya ndani ya fiesta Shinyanga.

Godzila ndani ya Shinyanga.
Godzilla ndani ya Shinyanga

IMG_1844

Jita Man akifanya show
Jita Man akifanya show

Jita Man.
Jita Man

Kama kawaida yake Mwanadada Shilole anawadatisha watu.
Kama kawaida yake Mwanadada Shilole akiwadatisha watu

Kassim Mganga aliimba na wakazi wa Shinyanga mwanzo,mwisho.
Cassim Mganga aliimba na wakazi wa Shinyanga mwanzo mwisho

Kassim Mganga.
Cassim Mganga

King Zila akifanya makamuzi serengeti fiesta Shinyanga.
King Zila akifanya makamuzi

Linah.
Linah

Miondoko ya Rich Mavoco na dance wake.
Miondoko ya Rich Mavoko na dancers wake

Mkazi wa Shinyanga akicheza na mwanadada shilole.
Mkazi wa Shinyanga akicheza na mwanadada shilole

Mtangazaji wa Clouds TV, Nickson George akiongea na wakazi wa Shinyanga.
Mtangazaji wa Clouds TV, Nickson George akiongea na wakazi wa Shinyanga

Mwakilishi wa serengeti super nyota Alinacha ataye iwakilisha mkoa wa Shinyanga katika faina zitakazo fanyikia Dar es salaam.
Mwakilishi wa serengeti super nyota, Alinacha atayeiwakilisha mkoa wa Shinyanga katika fainali zitakazo fanyikia Dar es Salaam

Mwanadada Linah  akifanya yake fiesta Shinyanga.
Mwanadada wa THT, Linah akifanya yake

Mwanadada Ney Lee akipagawisha wakazi wa Shinyanga.
Mwanadada NeyLee akipagawisha wakazi wa Shinyanga

Ney Lee.
NeyLee

Nick Mbishi akipagawisha fiesta Shinyanga.
Nikki Mbishi akipagawisha

Nickson George
Nickson George

Noma sana Serengeti fiesta Shinyanga.
Noma sana Serengeti fiesta Shinyanga

Rich Mavoco akifanya mambo ya dance wake,Noma kweli.
Rich Mavoko akifanya mambo

Rich Mavoco.
Rich Mavoco

Shafii Dauda wa kwanza (kushoto) akiwa na rafiki zake, wakifuatia Shangwe za serengeti fiesta Shinyanga.
Shafii Dauda wa kwanza (kushoto) akiwa na rafiki zake, wakifuatia shangwe za Serengeti fiesta Shinyanga

Shilole ndani ya hisia kali.
Shilole ndani ya hisia kali

Sholole akiimbwa kwa hisia.
Shilole akiimba kwa hisia

Stamina akifanya mambo serengeti fiesta Shinyanga,Noma sana.
Stamina akifanya mambo

Stamina na Young  Killer wakiimba sambamba na mashabiki.
Stamina na Young Killer wakirap sambamba na mashabiki

Stamina.

Temba akiwasikiliza wapenzi wa muziki Shinyanga.
Temba akiwasikiliza wapenzi wa muziki Shinyanga.

Wakazi wa Shinyanga wakiimba sambamba na Rich Mavoco.
Wakazi wa Shinyanga wakiimba sambamba na Rich Mavoko

Wakazi wa Shinyanga wamemwelewa Kassim.
Wakazi wa Shinyanga walimemwelewa Cassim

Wanaume famili kazini.
Wanaume family kazini

Young Killer akiimba na wakazi wa Shinyanga.
Young Killer akichana na wakazi wa Shinyanga

Young Killer.
Young Killer

Full mzuka

G Nako.
G Nako

IMG_1944

IMG_1946

IMG_1965

Inspector Haroun
Inspector Haroun

Joh Makini ndani ya Shinyanga.

Madee akimtafuta  aliye mwaga pombe wake Shinyanga.
Madee akimtafuta aliyemwaga pombe yake Shinyanga

Nay amewaimbisha kinoma noma.
Nay aliwaimbisha kinomanoma

Nay wa Mitego akiwa na Diamond wakufoji Shinyanga.
Nay wa Mitego akiwa na Diamond wakufoji Shinyanga

Nick wa pili
Nick wa Pili

Weusi wakifanya show serengeti fiesta shinyanga.
Weusi wakifanya show

Mkazi  wa Shinyanga akiwa amemshikilia mwanadada Shilole Kisawa sawa.
Mkazi wa Shinyanga akiwa amemshikilia mwanadada Shilole kisawasawa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents