Habari

Picha: Studio na ofisi ya ‘The Sporah Show’ iliyoko London, Uingereza

Yawezekana wewe ni kati ya mashabiki wa TV talk show ya SPORAH, ambayo huwakutanisha mastaa mbalimbali wa Afrika na kufanyiwa mahojiano na Mtanzania Sporah Njau, lakini yawezekana hujabahatika kuona mahali ambapo kipindi hicho huzalishwa.

Kupitia blog yake Sporah ameshare picha za ofisi na studio ambayo hupokea na kuhost mastaa mbalimbali wa Afrika na kwingine ambao hutembelea UK na kufanyiwa mahojiano katika kipindi hicho.

Sporah

Hizi ni picha za ofisi na studio inayozalisha kipindi hicho ambacho huruka kupitia TV SKY 218 @VOX AFRICA TV , DSTV 191- AFRICA.

Sporah-Main entrance
Main entrance

Sporah-carpark
Carpark

Sporah-corridor
Corridor

Sporah-lobby area
Lobby area

Sporah-magic room1
Magic room, ndipo kazi nzima ya uzalishaji hufanyika

Sporah-magic room2

Sporah-magic room3

Sporah-magic room4

Sporah-office-1
Office

Sporah-office-2

Sporah-studio1
Studio

Sporah-studio2

Sporah-makeup department-2
Makeup department

Sporah-makeup department

Sporah-makeup department-3

SOURCE: www.sporah.com

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents