Muziki
Song: Abby Skills ft. Ally Kiba & Shetta – Basi Njoo Kariakoo
Baada ya kimya cha muda mrefu, Abby Skillz amerejea tena na wimbo mpya, Basi Njoo Kariako aliowashirikisha, Ally Kiba na Shetta. Je” Kimya chake atakivunja kwa mshindo mkuu? Isikilize hapa.