Habari

Picha: Vibaka watafuta ‘fursa’ kwenye gari ya Mpoto

Wakati Mrisho Mpoto akiimalizia ziara za fursa zinazoendelea kwenye msimu wa Serengeti Fiesta, huku nyuma nalo Jeshi la Kubomoa Taifa limeamua kutumia fursa kwa kuiba vitu kwenye gari la Mjomba huyo. Mrisho ameshare picha ya gari lake likiwa limenyofolewa baadhi ya vifaa muhimu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents