Burudani

Picha: Washindi wa tuzo za MTV Movie & TV Awards

Usiku wa jana zilifanyika tuzo za MTV Movie & TV Awards ambazo zimefanyiwa marekebisho kwa mwaka huu.

Tuzo hizo zimefanyika katika ukumbi wa Shrine Auditorium uliopo mjini Los Angeles. Show ya ugawaji wa tuzo hizo iliongozwa na Adam LeVine.

Trevor Noah alifanikiwa kushinda tuzo ya “Best Host” na Taraji P. Henson akishinda tuzo ya “Best Hero.”

Hii ni orodha kamili ya walioshinda tuzo hizo:

Movie of the Year – “Beauty and the Beast”
Best Actor in a Movie – Emma Watson — “Beauty and the Beast”
Show of the Year – “Stranger Things” — Winner
Best Actor in a Show – Millie Bobby Brown — “Stranger Things”
Best Kiss – Ashton Sanders na Jharrel Jerome — “Moonlight”
Best Villain – Jeffrey Dean Morgan — “The Walking Dead”
Best Documentary – “13TH”
Best Reality Competition – “RuPaul’s Drag Race”
Best Comedic Performance – Lil Rel Howery — “Get Out”
Tearjerker – “This Is Us” — Jack (Milo Ventimiglia) and Randall (Lonnie Chavis) at karate
Next Generation – Daniel Kaluuya
Best Duo – Hugh Jackman and Dafne Keen — “Logan”
Best American Story – “Black-ish”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents