Burudani

Picha: Wiz Khalifa na mwanae waanzisha brand ya mavazi yao

Kuna msemo unasema, ‘Kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake.’ Rapper wa Marekani, Wiz Khalifa ameamua kutumia nafasi aliyokuwa nayo kuja na mavazi yake akimshirikisha mtoto wake, Sebastian mwenye miaka mitatu.

mayweather

Mavazi hayo mapya ya rapper huyo yatakuwa yakijulikana kama BASH na anaungana na baadhi ya wasanii walioamua kugeukia upande wa pili wa mitindo kuingiza fedha akiwemo Kanye West, Rihanna, The Weeknd na wengine.

Akiongea na jarida la People kuhusu mavazi hayo, Wiz amesema, “All the designs are based around Sebastian — all of his hobbies and the things that he’s into. I just really wanted it to feel personal to him, so when he sees it, he gets excited. He’s 3 years old, so he might not understand the concept of having his own clothing line. But the fact that all of his favorite things are all over his clothes, it makes him feel special; it makes him entertained by what he’s wearing.”

Mavazi hayo yataanza kuuzwa kuanzia Oktoba 15, mwaka huu na yatakuwa yakipatikana kwa rika zote huku nguo za watoto zikitarajiwa kupatikana kwa $35 hadi $50, nguo za wakubwa za kiume ($45 hadi $80), Jacket za watoto ($150).

Tazama baadhi ya picha za nguo hizo hapa chini.

viti-vilivyoharibiwa-na-mashabiki-wa-simba

fa-1

14504651_1106616199427691_6971131331891691520_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents