Burudani

Picha: Zari, Diamond washerehekea msimu wa Christmas kwenye yacht na familia

Ulisherehekea vipi sikukuu ya Christmas na boxing day?

1739465_457224814468540_1238534898_n

Kwa Diamond na first lady wake, Zari the Bosslady ilikuwa ni mwendo wa kuyakata maji kwenye yacht tu.

11264592_1065574703487275_1757651773_n

Mastaa hao walikodi yacht na kuelekea kwenye kisiwa cha maraha cha Mbudya wakiwa na ndugu zao. Waliojumuika ni pamoja na dada zake Diamond, Esma na Queen Darleen, AY, meneja Sallam na wengine.

1172960_1662537087362603_78202417_n

Tazama picha zao:

12393763_920762141325762_1879445229_n

12317944_444291532434115_1088547502_n

12339048_1687418584876834_1571760568_n

12357568_437426533128956_1832108583_n

12362090_787860254675994_1368957484_n

Katika hatua nyingine, Diamond alipata muda wa kuspend na mwanae Tiffah kabla ya kwenda Nigeria Jumatatu hii kwaajili ya show.

1390136_571461176335149_767535782_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents