Habari

Picha: Zitto Kabwe afunga ndoa na mrembo huyu

Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Zuberi Kabwe amefunga ndoa Alhamisi hii na mchumba wake aliyemvisha pete miezi michache iliyopita.
WhatsApp-Image-20160712
Zitto akimvisha pete mke wake

Mwanasiasa huyo ambaye pia ni kiongozi mkuu wa chama cha ATC Wazalendo, ndoa yake imefanyikia Zanzibar na kuhudhuriwa na watu wachache wakiwemo ndugu zake pamoja na rafiki wa karibu.

Kupitia instagram, Zitto amepost picha ya ndoa na kuandika: A to Z

Zitto-4

Zitto-5
IMG-20160714-WA0005

nnn

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents