Burudani
Queendarleen na mume wake Isihaka wapata mtoto
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka katika lebo ya WCB @queendarleen_ na mume wake @isihack amefanikiwa kupata mtoto.
Kupitia kurasa zao za Instagram @queendarleen_ na mume wake @Usijal ck wametujuza kuwa amepata mtoto wa kike.
https://www.instagram.com/p/CGJUaEAjHv4/
Hongereni sana @queendarleen_ na @isihack kwa kuongeza familia.