Habari

Rais Magufuli ateua wakuu wa wilaya 139 wapya

Taarifa iliyotoka Ikulu ya Tanzania June 26 inasema Rais John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko kwenye nafasi za wakuu wa Mikoa pamoja na wakuu wa Wilaya. Kwenye mabadiiko hayo amewateua jumla ya wakuu wa wilaya 139.

Mabadiliko haya yanamhusu aliyekua mkuu wa Wilaya ya Sengerema Bi.Zainab R. Telack kuwa mkuu mkoa wa Shinyanga ambaye anajaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekua mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi.Anna Kilango Malecela.

Mwingine aliyehusishwa na mabadiliko haya ni pamoja na Dkt Binilith Satano Mahenge kuwa mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Dkt. Satano anajaza nafasi ilyoachwa wazi na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu ambaye amehamishiwa Ofisi ya Waziri Mkuu Dar es Salaam ambapo atapangiwa majukumu mengine.

Mwingine aliyeteuliwa ni Dkt. Charles F Mlingwa ambaye ameteuliwa kuwa mkuu wa Mkoa wa Mara na anajaza nafasi iliyoachwa wazi na Stanslaus Magesa Mulongo ambaye uteuzi wake ulitenguliwa.

List ya wakuu wa Wilaya wapya na List ya wilaya zao.

1-6

2-6

3-5

4-3

5-5

6-3

7-2

8-1

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents