Habari

Rais Magufuli ajutia kwa kushindwa kutimiza ndoto hii kwenye maisha yake (+video)

Rais Magufuli ajutia kwa kushindwa kutimiza ndoto yake ya kuwa padri kwenye maisha yake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Magufuli amefunguka namna alivyoshindwa kutimiza ndoto yake ya kuwa Padri au Askofu katika maisha yake.

Rais Magufuli amefunguka hayo leo Aprili 28, 2019 wakati akizungumza na waumini waliohudhuria Ibada ya kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya, Mhashamu Askofu Mkuu Gervas John Nyaisonga, katika Uwanja wa Sokoine Mbeya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents