Rapa Reime Schemes aachia video ya wimbo Africa to America (Video)

Mwana Muziki Kutoka Marekani Mwenye Makazi Yake , Jijini Los Angles Mji Mkuu wa Burudani Duniani , Asili Yake ikiwa ni Nigeria REIME SCHEMES, Leo Hii Rasmi Ameachia Video Ya Wimbo Wake Mpya Unaitwa AFRICA TO AMERICA Aliyomshukrikisha Msanii Wa Bongo Fleva BI AISHA.

Producer Wa Wa Wimbo Huo Ni FRAGA kutoka Tanzania Ndio Aliyopendekeza B AISHA kushirikiana Na REIME SCHEMES .

REIME SCHEMES Amekuwa Na Mapenzi Makubwa Na Mziki Wa Bongo Fleva Na Afro Beat, Ukiachana na AFRICA TO AMERICA Ni Siku Chache Tu Kaachia Wimbo Mpya Uitwao PARADISE Nao Unapatikana YouTube , Haya Twende YouTube Tukautazame Wimbo Wake Huu Mpya wa AFRICA TO AMERICA.

Related Articles

Back to top button