Burudani

Remy Ma atuhumiwa kumdiss Nicki Minaj kwenye ‘Wait a Minute Remix’

Maneno ya watu yameanza kuwakosanisha Remy Ma na Nicki Minaj.

Remy anatuhumiwa kumdiss Nicki kwenye wimbo wa ‘Wait a Minute Remix’ alioshirikishwa na Phresher.

“Will I smoke this bitch? Yes. Probably fail my piss test / Get rid of those fake breasts / And put a vest on this bitch chest,” ni baadhi ya mashairi ya Remy aliyorap kwenye wimbo huo ambayo yanadaiwa kumdiss Minaj.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents