Burudani

Rich Mavoko amalizana na BASATA, ageuka Mbongo mbele ya waandishi wa habari ‘nyie mtanilipa nikiongea’ (+video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Rich Mavoko leo Agosti 23, 2018 ametoka BASATA ambako aliitwa yeye na Uongozi mzima wa WCB kujadili ishu ya mkataba wake wa WCB.

Rich Mavoko katika hali ya kushangaza amekataa kabisa kuzungumzia kile walichojadili kwenye kikao hicho, huku akiwachana waandishi wa habari kuwa hawezi ongea kama hawatamlipa.

Related Articles

49 Comments

  1. Shida iriyopo kwenye hii mitandao yakijamii hakuna ukweri mnapotosha potosha tu watu na venyewe watanzania turivyokuwa hatujui kuchunguza! Kwamfano nyinyi bongo 5 mmejaribu kuwahoji wahusika wamekataa kuongelea maswala hayo na tumekuona kabisaa ukiurizwa na rich wewe ni nanani? Na hata uyo kiongozi wa basata nae kawakaria kuzungu mzia yariyo kuwaya kiongelewa, ilasaizi mnasema wamemarizana

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents