Michezo

Robo Fainali klabu Bingwa Afrika ni hatari tupu

Mpaka sasa katika Klabu Bingwa Afrika ni timu mbili tu (2) ambazo zinasubiriwa kufuzu ili ziungane na 6 zilizotangulia ili kukamilisha idadi ya timu 8 kukamilisha hatua ya robo fainali.

Tiny zilizofuzu mpaka sasa ni;

 

KUNDI A

TP Mazembe kutoka DRC

Mamelodi Sundowns kutoka South Afrika.

 

KUNDI B

ASEC Mimosas kutoka Ivory Coast

Bado kufuzu

 

KUNDI C

Petro Atletico kutoka Angola.

Bado kufuzu.

KUNDI D

AL Ahly kutoka Misri.

Young Afrika kutoka Tanzania.

 

Ikitokea msimamo wa makundi ukibaki kama ulivyo Yanga SC watakutana na moja ya timu hizi robo fainali CAFCL

TP Mazembe

Petro Atletico

ASEC Mimosas

Mpaka sasa  Yanga wanaongoza kwa idadi kubwa ya mabao ligi kuu Tanzania wakiwa na mabao 9  na ndio timu pekee iliyofikisha idadi hiyo ya mabao katika hatua ya makundi.

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents