Lady Jay Dee

Safari ya Lady Jaydee kupanda Mlima Kilimanjaro yaanza leo

403614_10151070075205025_209269448_n

Muimbaji mkongwe nchini Tanzania, Judith Mbibo aka Lady Jaydee leo anaanza rasmi safari yake ya kupanda Mlima Kilimanjaro.Akitoa ratiba yake ya leo kupitia website yake, Jide amesema:

Vitu muhimu vilivyoandaliwa kwa safari yake
Vitu muhimu vilivyoandaliwa kwa safari yake

jide 3

jide 1

Tunaondokea Marangu Gate saa 3:00 asubuhi.Jumatatu ya tar 7 January 2013.
Mtiririko wa picha zaidi utakuwa unakujia kadri safari itakavyokuwa.Kama kutakuwa na network juu ya mlima. Nita post
Nifuate twitter kwa matukio live, hatua kwa hatua.Twitter.com/jidejaydee ndio anuani yangu.

Tunamtakia Jide safari njema ya kuupanda Mlima Kilimanjaro.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents