Habari

Serikali ya Tanzania yakanusha vifo 50 vya Corona vilivyoripotiwa Kenya

Kupitia ukurasa wa Msemaji mkuu wa Serikali ya Tanzania wa Twitter umepost ujumbe huu:-

“Huu ni uandishi au “uhandisi” wa habari? Inasikitisha kuona jinsi @ntvkenya inavyokuwa wakala wa uongo na uzushi. Nawakumbusha wazandiki hawa kuenzi misingi ya taaluma badala ya umaamuma”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents