Michezo

Simba yatwaa kombe la Mapinduzi 2015

Klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba, usiku wa kuamkia leo waliibuka washindi katika mchezo wa fainali ya kombe la Mapinduzi kwa kuwafunga Mtibwa Sukari kwa changamoto ya Mikwaju ya Penati. Mchezo huo ulifanyika huko kisiwani Unguja.

Simba Bingwaaaa_full

DSC04969

Simba walifanikiwa kupata panati nne na kukosa moja huku mtibwa wakipata penati tatu na kukosa mbili.

DSC05081

Related Articles

Leave a Reply

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents