Burudani

Steve Nyerere kujenga wodi ya Mama na Mtoto hospitali Vijibweni Kigamboni (Video)

Steve Nyerere na Uzalendo Kwanza watoa msaada vifaa tiba vya tsh milioni 5 hospitali ya Vijibweni Kigamboni, ahaidi kujenga wodi ya Mama na Mtoto.

Wasanii hao wasesema yanafanya hayo yote ili kuisaidia serikali katika harakati za kutatua changamoto zilizopo kwenye huduma ya afya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents