Swali lililomkera Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli (+Video)

Afisa Habari wa klabu ya Yanga Hassan Bumbuli ameonekana kutofurahishwa na swali liliolizwa na Mwandishi wa habari ambaye alitumia neno ”Yanga hali sio hali” na ndipo kujibiwa baada ya mwandishi huyo kurekebisha swali lake.

Related Articles

Back to top button