Michezo

TAKWIMU: Yanga yaongoza kwa mapato 2020/21, Simba ya pili, Azam FC ya 15

Mabingwa wa Kihistoria Ligi Kuu Tanzania Bara, timu ya Wananchi ndiyo timu inayoongoza kwa kuingiza mapato mengi zaidi ya mlangoni msimu huu wa 2020/2021.

Vijana hao kutoka Mitaa ya Twiga na Jangwani imefanikiwa kuingiza kibindoni fedha za kitanzania 986,826,000 kama mapato ya mlangoni kwa mechi za nyumbani. Wakati Simba wakishika nafasi ya pili kwa kujikusanyia tsh 929,705,000 kama mapato ya mlangoni kwa mechi zake za nyumbani msimu 2020/2021.

Imeandikwa na @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents