Habari

Tazama matukio katika picha kutoka Bungeni leo – June 18, 2018

Kikao cha 52, mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeendelea Jijini Dodoma, Leo Bunge limeongozwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai. Kipindi cha Maswali na Majibu kiliendelea na wabunge walihoji maswali na kujibiwa na Serikali.


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (Mb), akizungumza wakati wa kikao cha 52 cha Bunge la 1 leo tarehe 18 Juni, 2018 Jijini Dodoma


Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bajeti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Hawa Ghasia akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo kuhusu Bajeti ya mwaka wa fedha 2018/19 wakati wa kikao cha 52 cha Bunge la 11 leo tarehe 18 Juni, 2018 Jijini Dodoma


Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akijibu swali wakati wa kikao cha 52 cha Bunge la 11 leo tarehe 18 Juni, 2018 Jijini Dodoma


Mbunge wa Jimbo la Missungwi mkoani Mwanza, Mhe. Charles Kitwanga akichangia hoja kuhusu taarifa ya hali ya uchumi na mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2018/19 wakati wa kikao cha 52 cha Bunge la 11 leo tarehe 18 Juni, 2018 Jijini Dodoma


Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akiteta jambo na Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Singida, Martha Mlacha wakati wa kikao cha 52 cha Bunge la 11 leo tarehe 18 Juni, 2018 Jijini Dodoma


Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Seriikali za Mitaa (OR -TAMISEMI), Mhe. Joseph Kakunda akijibu swali wakati wa kikao cha 52 cha Bunge la 11 leo tarehe 18 Juni, 2018 Jijini Dodoma


Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango(kulia)na Naibu wake Dkt. Ashatu Kijaji wakifuatilia hoja za wabunge kuhusu taarifa ya hali ya uchumi na mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2018/19 wakati wa kikao cha 52 cha Bunge la 11 leo tarehe 18 Juni, 2018 Jijini Dodoma

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents