Burudani

TID na Banana Zorro (The Expendables) kuja na ngoma ya pamoja

Mwana FA na AY wakiwa pamoja wanajiita ‘Gladiators’ na sasa Banana Zorro na TID Mnyama kwa pamoja wameamua kujiita ‘The Expendables’.

image

Wasanii hao wakongwe wamesema wanatarajia kuachia ngoma yao ya pamoja hivi karibuni.

“With my broda last nyt @tidmnyama THE EXPENDABLES vigogo… duet coming.anytime STUNTS AGENTS,” ameandika Banana kwenye picha aliyoweka Instagram akiwa na TID.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents