Promotion

‘Timka na Bodaboda’ ya Vodacom yapamba moto

001.BODABODA

Meneja Uhusiano wa Vodacom TanzaniA, Matina Nkurlu,akiwaonesha waandishi wa Habari (hawapo pichani)namba ya simu ya mshindi aliejishindia Pikipiki katika promosheni ya”Timka na Bodaboda”inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Jumla ya
washindi(15)wamejishindia Pikipiki na wengine(6)wamejinyakulia shilingi Milioni moja moja.Ili kujiunga na promosheni hii TUMA NENO PROMO kwenda 15544,anaeshuhudia kushoto ni Afisa wa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid na kulia ni Msimamizi wa bodi ya Michezo ya kubahatisha nchini, Humudi Abdulhussein

002.BODABODA
Matina Nkurlu akiongea na simu na mmoja wa washindi wa Pikipiki katika promosheni ya”Timka na Bodaboda”inayoendeshwa na Vodacom Tanzania

003.BODABODA
Matina Nkurlu,akisisitiza jambo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani)kuhusiana na umuhimu wa watanzania na wateja wa Vodacom kushiriki katika Promosheni ya “Timka na Bodaboda ambapo,jumla ya washindi(15)wamejishindia Pikipiki na wengine(6)wamejinyakulia shilingi milioni moja moja

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents