Makala

Top5: Mambo matano yatakayokusaidia kutimiza malengo mwaka 2018 (+video)

Kila mmoja kuna malengo ambayo amejiwekea kuyafikia kwa mwaka huu, 2018. Hata hivyo kuwa na malengo pekee haitoshi bali kunahitajika mikakati kufanikisha kile ulichodhamiria.

Hivyo basi, Joel Nanauka ambaye ni mwandishi wa vitabu na mwalimu katika masuala ya mafanikio anaeleza kanuni tano muhimu zitakazokuwezesha kufikia malengo yako.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents