Habari

Tundaman adai kutoimba tena nyimbo za mapenzi (Audio)

Hitmaker wa Neila, Tundaman amesema amebakiza wimbo mmoja tu wa mapenzi ambao baada ya kutoka hatoimba tena nyimbo zenye ujumbe wa aina hiyo.

[soundcloud url=”http://api.soundcloud.com/tracks/113182090″ params=”” width=” 100%” height=”166″ iframe=”true” /]

“Katika library yangu nimebakiza wimbo mmoja tu wa mapenzi ya mwisho ambayo nikiitoa ntakuwa siimbi tena nyimbo za mapenzi,” Tundaman alikimbia kipindi cha Kali za Bomba cha Bomba FM, Mbeya.

Alisema badala yake ataendelea kuimba masuala mengine yanayowazunguka watu wengi lakini sio mapenzi. Katika hatua nyingine, rapper huyo amesema anatarajia kuanza ziara ya miezi mitatu barani Ulaya ambako atafanya show zaidi ya 10.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents