Siasa

Uchaguzi Uganda 2021: Bobi Wine alivyoenda kupiga kura (+ Video)

Mgombea mkuu wa upinzani nchini Uganda Bobi amethibitishwa kupiga kura yake mapema leo .

Bobi Wine anawania urais nchini Uganda kwa mara ya kwanza huku akidaiwa kutoa upinzani mkali kwa rais aliyepo madarakani Yoweri Museveni.

Yupo katika kinyanganyiro hicho kwa ahadi ya kuvutia uwekezaji na kuwapatia ajira vijana iwapo atachaguliwa.

Bofya hapa chini kutazama:

https://www.instagram.com/tv/CKB0yz5BnFS/

https://www.instagram.com/tv/CKB0yz5BnFS/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents