Burudani

Video: Diamond Platnumz & Yemi Alade (Nigeria) – Ukimwona (Coke Studio Africa)

Inawezekana wewe ni miongoni mwa wapenzi wa wimbo wa Diamond Platnumz ‘Ukimwona’, ambao ulifanya vizuri sana kwenye mitaa mbalimbali ya Tanzania japokuwa haukutoka rasmi.

http://youtu.be/nPhvkvsI-bw

Akiwa kwenye msimu wa pili wa Coke Studio Africa, Diamond Platnumz aliamua kuuongezea uhai wimbo huo kwa kuuimba upya na msanii wa kike kutoka Nigeria aliyefanya vizuri na wimbo wake wa ‘Johnny’, Yemi Alade. Tazama video ya studio iliyofanywa na Coke Studio Africa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents